Breaking News

New Video: Izzo Bizness & Abela – Tumeoana

Wasanii wanaounda Kundi la The Amazing, Izzo Bizness & Abela, wameachia video yao mpya ya wimbo ‘Tumeoana’. Audio imeandaliwa na producer Abba na Video imeandaliwa na director, Nick Dizzo.


No comments